Ngũgĩ wa Thiong'o, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 87, alikuwa kinara wa fasihi ya kisasa ya Afrika - msimuliaji hadithi ambaye alikataa kuzuiwa na jela, uhamisho au ugonjwa. Kazi yake ...