TANZANIA imepiga hatua moja mbele katika nchi zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara, baada ya kuamua kuja na ajenda ya uanzishaji wa Vituo vya Huduma Jumuishi (One Stop Center), vitakavyotumika kutatua ...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2025 leo, Jumatano Novemba 5, 2025, ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa ...
Serikali imewaita kazini walimu wapya 319 wa fani mbalimbali, ambapo halmashauri saba zimenufaika na kuongezewa nguvu kazi hiyo mpya katika sekta ya elimu. Taarifa ya kuitwa kazini kwa walimu hao ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Profesa Said Mohamed Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) na Mitihani ya Ualimu iliyofanyika ...
Wachezaji wa Simba wakiwa mazoezini. WACHEZAJI wa muda mrefu ndani ya kikosi cha Simba wameanza kuwapa semina elekezi wenzao wapya waliosajiliwa msimu huu juu ya utamaduni wa timu hiyo na na umuhimu ...
Wakaazi wa Manispaa ya Masindi wameachwa na mshangao baada ya mwanaume aliyetangazwa kuwa amekufa kurudi akiwa hai, saa chache tu baada ya mwili unaoaminika kuwa wake kuzikwa. Kwa mujibu wa mtandao wa ...
TIMU ya Taifa ya Soka ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys imefanikiwa kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika kwa umri huo zinazotarajiwa kuchezwa mwakani nchini Morocco baada ya ...
Siri za serikali, ni taarifa nyeti zinazohusiana na ulinzi, diplomasia, uchumi na mipango ya kimkakati ya nchi. Hakuna asiyetambua kwamba, uvujaji wa taarifa hizi unaweza kuhatarisha ustawi na usalama ...
Iran imesema haitarejelea mazungumzo kuhusu mpango wake wa nyuklia huku ikishambuliwa, saa chache baada ya waziri wa ulinzi wa Israel kuonya kuhusu mgogoro wa "muda mrefu" na Jamhuri ya Kiislamu.
KESI ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeshika kasi, safari hii akikataa kumtumia wakili aliyeteuliwa na Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Neema ...
Sekta ya madini nchini inaendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kuongeza thamani si tu kwa madini ya vito na metali, bali pia kwa madini ya ujenzi kama mchanga. Mageuzi haya yamefungua fursa mpya kwa ...
UMOJA wa Mataifa (UN), unazitaja ajali za barabarani kuwa ndizo zinazoongoza kuua vijana Afrika. Ni tangazo la Mei mwaka jana, linalozitaja serikali za Afrika zichukue hatua mpya za pamoja kuzikabili, ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results