Serikali imewaita kazini walimu wapya 319 wa fani mbalimbali, ambapo halmashauri saba zimenufaika na kuongezewa nguvu kazi hiyo mpya katika sekta ya elimu. Taarifa ya kuitwa kazini kwa walimu hao ...
Wakaazi wa Manispaa ya Masindi wameachwa na mshangao baada ya mwanaume aliyetangazwa kuwa amekufa kurudi akiwa hai, saa chache tu baada ya mwili unaoaminika kuwa wake kuzikwa. Kwa mujibu wa mtandao wa ...
Sekta ya madini nchini inaendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kuongeza thamani si tu kwa madini ya vito na metali, bali pia kwa madini ya ujenzi kama mchanga. Mageuzi haya yamefungua fursa mpya kwa ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewapatia Wahasibu elimu ya mabadiliko ya sheria za kodi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa masuala ya kodi kwa Wahasibu. Akizungumza katika semina ya utoaji elimu ...
UMOJA wa Mataifa (UN), unazitaja ajali za barabarani kuwa ndizo zinazoongoza kuua vijana Afrika. Ni tangazo la Mei mwaka jana, linalozitaja serikali za Afrika zichukue hatua mpya za pamoja kuzikabili, ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imehitimisha kikao cha tathmini ya utendaji kazi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kilichodumu kwa siku tano jijini Arusha na kuja na mikakati ya kukusanya Sh. trilioni ...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria anayesimamia pia shughuli za kibalozi nchini Gambia, Balozi Selestine Kakele. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za mafuta zinazotumika kuanzia leo Septemba 3, 2025, zikionesha kupungua kwa kwa shilingi 36 kwa bei ya petroli na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results