Wakaazi wa Manispaa ya Masindi wameachwa na mshangao baada ya mwanaume aliyetangazwa kuwa amekufa kurudi akiwa hai, saa chache tu baada ya mwili unaoaminika kuwa wake kuzikwa. Kwa mujibu wa mtandao wa ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imehitimisha kikao cha tathmini ya utendaji kazi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kilichodumu kwa siku tano jijini Arusha na kuja na mikakati ya kukusanya Sh. trilioni ...
Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, amesema Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kinapaswa kusimamia utekelezaji wa sheria na maslahi ya umma kwa weledi, pamoja na kuepuka kuwa taasisi ya ...
Watu wanne wamefariki dunia na wengine 14 wakijeruhiwa katika ajli ya barabarani iliyotokea leo Julai 7, 2026 majira ya asubuhi katika Kata ya Chem Chem mkoani Tabora ikuhusisha basi la abiria lenye ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewapatia Wahasibu elimu ya mabadiliko ya sheria za kodi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa masuala ya kodi kwa Wahasibu. Akizungumza katika semina ya utoaji elimu ...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria anayesimamia pia shughuli za kibalozi nchini Gambia, Balozi Selestine Kakele. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa ...
India and Japan signed a series of agreements to expand cooperation in artificial intelligence, critical minerals, energy and defence following talks between Prime Minister Narendra Modi and Japanese ...
Timu ya England imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mexico katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Estadio Azteca. Licha ya kucheza ...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema makundi ya waendesha bodaboda, bajaji, machinga, mama lishe na baba lishe yamepata heshima, fursa na mazingira bora ya kufanya kazi kutokana na falsafa ...
Wizara ya Maliasili na Utalii, inatumia Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF), maarufu Sabasaba kuhamasisha utalii wa ndani, ikiwamo mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kufanyika ...
Naibu Waziri wa Afya, Dk. Florence Samizi, amekitaka Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUCOHAS) kuendelea kuzalisha wataalamu wa afya wenye ubora, weledi na maadili ya hali ya juu, ...