Wakaazi wa Manispaa ya Masindi wameachwa na mshangao baada ya mwanaume aliyetangazwa kuwa amekufa kurudi akiwa hai, saa chache tu baada ya mwili unaoaminika kuwa wake kuzikwa. Kwa mujibu wa mtandao wa ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imehitimisha kikao cha tathmini ya utendaji kazi kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kilichodumu kwa siku tano jijini Arusha na kuja na mikakati ya kukusanya Sh. trilioni ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewapatia Wahasibu elimu ya mabadiliko ya sheria za kodi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa masuala ya kodi kwa Wahasibu. Akizungumza katika semina ya utoaji elimu ...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria anayesimamia pia shughuli za kibalozi nchini Gambia, Balozi Selestine Kakele. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa ...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema makundi ya waendesha bodaboda, bajaji, machinga, mama lishe na baba lishe yamepata heshima, fursa na mazingira bora ya kufanya kazi kutokana na falsafa ...
OVER 300 runners from more than 20 Dar es Salaam running clubs took part in a charity run on Saturday as part of TAZARA’s 50th anniversary celebrations, in an event aimed at promoting fitness, healthy ...
Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema mfumo wa uagizaji wa mafuta kwa pamoja umeendelea kuimarisha upatikanaji wa mafuta nchini, kudhibiti mfumuko wa bei, kuhakikisha ubora wa mafuta ...
Mama mmoja alietambulika kwa jina la Dayana Patino ameokolewa kutoka chini ya vifusi vya nyumba yake iliyobomolewa nchini Venezuela akiwa na mtoto wake wa siku 18, huku akieleza jinsi kichanga hicho ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results